• 88.1
  Dar es salaam
 • 90.1
  Bukoba
 • 90.9
  Iringa
 • 92.1
  Mwanza
 • 93.5
  Moshi
 • 94.7
  Nairobi
 • 93.7
  Arusha
 • 96.8
  Musoma
 • 97.7
  Tanga
 • 98.6
  Mtwara
 • 99.0
  Kampala
 • 99.6
  Dodoma
 • 100.1
  Mbeya
 • 101.4
  Singida
 • 103.1
  Morogoro
 • 105.2
  Tabora
05:00 AM 09:00 AM
Yusta Msowoya
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of all big stories locally and internationally, interviews with...
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of all big stories locally and internationally, interviews with the newsmakers ,business news and sports. All this is spiced with music and humor. Set your alarms!.
Ni kipindi kinachokuletea habari ,taarifa na uchambuzi wa mambo mbali mbali za ndani na nje huku tukikupa nafasi ya kutoa mawazo yako. Pia utasikia mahojiano ya moja kwa moja na watu wa nyanja mbalimbali wakijibu hoja mbali mbali. Haya yote huambatana na burudani nzuri ya muziki. Usijutie tena unavyoanza siku yako kwa kusikiliza EA Breakfast.
Email/Barua Pepe:
09:00 AM 01:00 PM
Maryam Kitosi
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss...
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss and share their views on current affairs and the related social issues that affect them.
Kipindi pekee Afrika Mashariki kilichopewa jina la 'sahani ya jamii' na wasikilizaji kwa umahiri wake katika kuchambua maswala mbalimbali ya kijamii Afrika Mashariki na kutoa elimu juu ya maswala mbalimbali. Tunawapa wananchi wa kawaida nafasi ya kutoa kero zao na kuelimishana. Pata pia elimu juu ya sheria na biashara.Badilisha uwelewa wa maisha yako na maswala ya kijamii na Supamix.
Email/Barua Pepe:
12:00 PM 01:00 PM
Goza Chuma
Your daily (Mon - Fri) sports show dedicated to the local and regional sports fans coupled with all the latest local, regional and international...
Your daily (Mon - Fri) sports show dedicated to the local and regional sports fans coupled with all the latest local, regional and international Sport on and off the grounds. Get engaged in sports with all the information, debates and analysis on sport.
Kipindi chako cha michezo kwa wapenzi na mashabiki wa michezo kikihabarisha habari zote za michezo za ndani, Afrika Mashariki na kimataifa. Shiriki na pata taarifa zote,uchambuzi na malumbano ya michezo kupitia KIPENGA Xtra pekee.
01:00 PM 04:00 PM
Dullah & Jr Junior
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava and local entertainment as a whole. The only show across East Africa that brings you all...
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava and local entertainment as a whole. The only show across East Africa that brings you all the latest bongo flava hits with a all big entertainment stories of the day across Tanzania.
Kipindi pekee Afrika mashariki kinachokuletea burudani ya muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania maarufu kama 'bongo flava' pamoja na habari zote kubwa kuhusu muziki huo ,wanamuziki wake na burudani ndani ya Tanzania kwa ujumla.
Email/Barua Pepe:
04:00 PM 08:00 PM
Ian Dialo
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of news and current affairs, local and international sports news and...
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of news and current affairs, local and international sports news and interviews with the headline makers. Dont miss your full dose of information and humor with soothing latest music .
East Africa Drive ni kipindi kinachokuletea habari zote kubwa za siku kuanzia siasa,biashara,michezo na burudani pamoja na burudani nzuri ya muziki.
Email/Barua Pepe:
08:00 PM 09:00 PM
George David, Tigana Lukinja na Ibrahim Kasuga
KIPENGA - Your daily (Mon - Fri) sports show that gives you all the latest from local, regional and international Sport world on and off the...
KIPENGA - Your daily (Mon - Fri) sports show that gives you all the latest from local, regional and international Sport world on and off the grounds. Get all the information, debates and analysis on sport.
Kipindi chako cha michezo ambacho kinakuhabarisha na habari zote za michezo za ndani,Afrika Mashariki Na kimataifa.Pata taarifa zote,uchambuzi na malumbano ya michezo kupitia KIPENGA pekee.MICHEZO SI
09:00 PM 00:00 AM
King Smash & Queen Fifi
A Cheerful program for youthful listeners filled with all the latest entertainment stories of the day across Africa and the world exposing the...
A Cheerful program for youthful listeners filled with all the latest entertainment stories of the day across Africa and the world exposing the local entertainment industry with the regional, continental and international entertainment industry.
Kipindi pekee kinacholenga vijana kikiwa kimesheheni habari na burudani kutoka Africa na duniani kote kikitoa nafasi kwa wasanii wa ndani na wadau wote wa sanaa na burudani Kujifunza na kuhabarika juu ya maswala mbali mbali ya burudani Africa na dunia nzima.
Email/Barua Pepe:
00:00 AM 05:00 AM
05:00 AM 09:00 AM
Yusta Msowoya
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of all big stories locally and internationally, interviews with...
East Africa Breakfast is your daily news and current affairs show. It consists of all big stories locally and internationally, interviews with the newsmakers ,business news and sports. All this is spiced with music and humor. Set your alarms!.
Ni kipindi kinachokuletea habari ,taarifa na uchambuzi wa mambo mbali mbali za ndani na nje huku tukikupa nafasi ya kutoa mawazo yako. Pia utasikia mahojiano ya moja kwa moja na watu wa nyanja mbalimbali wakijibu hoja mbali mbali. Haya yote huambatana na burudani nzuri ya muziki. Usijutie tena unavyoanza siku yako kwa kusikiliza EA Breakfast.
Email/Barua Pepe:
09:00 AM 01:00 PM
Maryam Kitosi
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss...
Your informative, smart, and intelligent radio show. The first and only radio show in the region that gives the 'mwananchi' a platform to discuss and share their views on current affairs and the related social issues that affect them.
Kipindi pekee Afrika Mashariki kilichopewa jina la 'sahani ya jamii' na wasikilizaji kwa umahiri wake katika kuchambua maswala mbalimbali ya kijamii Afrika Mashariki na kutoa elimu juu ya maswala mbalimbali. Tunawapa wananchi wa kawaida nafasi ya kutoa kero zao na kuelimishana. Pata pia elimu juu ya sheria na biashara.Badilisha uwelewa wa maisha yako na maswala ya kijamii na Supamix.
Email/Barua Pepe:
12:00 PM 01:00 PM
Goza Chuma
Your daily (Mon - Fri) sports show dedicated to the local and regional sports fans coupled with all the latest local, regional and international...
Your daily (Mon - Fri) sports show dedicated to the local and regional sports fans coupled with all the latest local, regional and international Sport on and off the grounds. Get engaged in sports with all the information, debates and analysis on sport.
Kipindi chako cha michezo kwa wapenzi na mashabiki wa michezo kikihabarisha habari zote za michezo za ndani, Afrika Mashariki na kimataifa. Shiriki na pata taarifa zote,uchambuzi na malumbano ya michezo kupitia KIPENGA Xtra pekee.
01:00 PM 04:00 PM
Dullah & Jr Junior
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava and local entertainment as a whole. The only show across East Africa that brings you all...
Programming with a focus on upbeat Tanzanian bongo flava and local entertainment as a whole. The only show across East Africa that brings you all the latest bongo flava hits with a all big entertainment stories of the day across Tanzania.
Kipindi pekee Afrika mashariki kinachokuletea burudani ya muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania maarufu kama 'bongo flava' pamoja na habari zote kubwa kuhusu muziki huo ,wanamuziki wake na burudani ndani ya Tanzania kwa ujumla.
Email/Barua Pepe:
04:00 PM 08:00 PM
Ian Dialo
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of news and current affairs, local and international sports news and...
East Africa Drive is a current affairs show that keeps you abreast of news and current affairs, local and international sports news and interviews with the headline makers. Dont miss your full dose of information and humor with soothing latest music .
East Africa Drive ni kipindi kinachokuletea habari zote kubwa za siku kuanzia siasa,biashara,michezo na burudani pamoja na burudani nzuri ya muziki.
Email/Barua Pepe:
08:00 PM 09:00 PM
George David, Tigana Lukinja na Ibrahim Kasuga
KIPENGA - Your daily (Mon - Fri) sports show that gives you all the latest from local, regional and international Sport world on and off the...
KIPENGA - Your daily (Mon - Fri) sports show that gives you all the latest from local, regional and international Sport world on and off the grounds. Get all the information, debates and analysis on sport.
Kipindi chako cha michezo ambacho kinakuhabarisha na habari zote za michezo za ndani,Afrika Mashariki Na kimataifa.Pata taarifa zote,uchambuzi na malumbano ya michezo kupitia KIPENGA pekee.MICHEZO SI
09:00 PM 11:00 PM
Get personal with celebrities only on Friday Night Live, where radio and TV link up to bring you all the headlining stories in the entertainment...
Get personal with celebrities only on Friday Night Live, where radio and TV link up to bring you all the headlining stories in the entertainment world. East Africa Radio personalities get personal with celebrities and unveil stories that you've never heard before. Our finest DJs will mesmerize you with hyped and crazy mixing. This is where the party begins.
Sehemu pekee redio na televisheni zinapokutana kukupa dozi maalum ya kukuandaa kwa ajili ya mwisho wa wiki. Party zote zinaanzia hapa halafu tunazipeleka kwingine.
11:00 PM 01:00 AM
01:00 AM 06:00 AM
06:00 AM 10:00 AM
Yusta Msowoya & William Charles
Your news and current affairs show that takes a look at the week that was every Saturday and Sunday morning. It consists of reviews of the big stories of the week, interviews, a look at business and health all of which are spiced with a great mix of music and humor.
Umekosa chochote wiki nzima? Jiunge na timu ya Weekend Breakfast kila Jumamosi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi na Jumapili kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa nne ambapo mwisho wako wa juma hautakuwa wa kusahaulika tena.
10:00 AM 12:00 PM
JR JUNIOR
12:00 PM 02:00 PM
Ian Dialo
STRICTLY KENYAN is a weekly show that focuses on Kenyan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this with great mix of Kenyan music.
STRICTLY KENYAN ni kipindi pekee Afrika Mashariki kinachokuletea burudani ya muziki na habari kutoka Kenya pekee. Usikose kipindi hiki kilichojaa ucheshi na maswala mbali mbali ya maisha ya kila siku nchini Kenya.
Email/Barua Pepe:
02:00 PM 03:00 PM
UGANDA CENTRAL is a weekly show that focuses on Ugandan lifestyle, news, current affairs issues , interviews, entertainment and culture. All this with great mix of Ugandan music.
UGANDA CENTRAL ni kipindi pekee Afrika Mashariki kinachokuletea burudani ya muziki na habari kutoka Uganda pekee pamoja na maswala maswala mbali mbali ya maisha ya kila siku nchini Uganda.
Email/Barua Pepe:
03:00 PM 04:00 PM
DJ TEE
SHUJAAZ is a weekly radio show aiming at empowering youth, showcasing various opportunities that surround them and tell the story of other youth who have made it through hustling. The show is hosted by your very own DJ Tee (19), whose story is found on monthly comic magazine dubbed SHUJAAZ. With all inspiring stories, SHUJAAZ also gives you a whole world of entertainment, sex and ways to make money. Join DJ Tee every SATURDAY at 3pm via East Africa Radio.
SHUJAAZ ni show ya kila wiki yenye lengo la kuwaonesha vijana FURSA mbalimbali zilizopo, ambazo zinaweza kuwasaidia katika kufikia malengo yao kupitia simulizi za vijana wengine mbali mbali wanaojituma ili watoboe kimaisha. SHUJAAZ inaongozwa na kijana DJ Tee (19), ambaye simulizi yake inapatikana kwenye kijarida cha kila mwezi cha SHUJAAZ. Pamoja na simulizi za vijana zinazohamasisha, SHUJAAZ pia inakupa ulimwengu wote wa BURUDANI, MAPENZI na UTAFUTAJI PESA. Ungana na DJ Tee kila JUMAMOSI saa TISA kamili alasiri kupitia East Africa Radio.
Email/Barua Pepe:
04:00 PM 06:00 PM
George David, Abdu-la-hziz Mrisho, Ibrahim Kasuga & Tigana Lukinja
Your weekly sport show that analyses sport news and affairs in the region and abroad and takes a look at athletes, their achievements and challenges. Saturday Sports also reveals hidden talents, shares know how of sports and talks sport politics when necessary.
SATURDAY SPORTS ni kipindi cha michezo kinachochambua michezo mbalimbali ya ndani, Afrika Mashariki na duniani kote na kungalizia maendeleo na ugumu wa wanamichezo mbalimbali.
Email/Barua Pepe:
06:00 PM 08:00 PM
KING SMASH
Interactive show in which listeners are given the freedom to control the playlist. Also we round up the biggest stories of the week. Tune in and be part of the family.
Kipindi pekee kinachokupa fursa ya kuomba wimbo wowote unaoupenda na kupata taarifa mbalimbali muhimu za wiki.
Email/Barua Pepe:
08:00 PM 10:00 PM
10:00 PM 01:00 AM
QUEEN FIFI
East Africa is united with Urban Hits, interviews, chats and information packed together to set right your saturday party mood. The show features various Djs showcasing their skills which will mesmerise your weekend.
Afrika mashariki inaunganishwa hapa huku burudani ya muziki, habari mbalimbali na mahojiano na wasanii mbali mbali zikichukua nafasi katika kipindi. Kipindi pia kinakupa nafasi ya kusikia vipaji vya Djs mbali mbali kufurahisha wisho wako wa wiki.
01:00 AM 06:00 AM
06:00 AM 10:00 AM
Grayson Gideon & Maryam Kitosi
WEEKEND BREAKFAST is a news and current affairs show that reviews the week every Saturday and Sunday morning.It consists of reviews of big stories of the week, interviews a look at hot business, health with great mix of music and humour.
WEEKEND BREAKFAST ni kipindi kinachopitia habari zote kubwa za wiki na kupitia habari za mwisho wa juma huku ukipata nafasi ya kutoa maoni yako. Pia kuna mahojiano na watu mbalimbali kutoka njanja tofauti za maisha pamoja na dondoo za biashara na afya, ucheshi na burudani nzuri ya muziki.
10:00 AM 01:00 PM
MWANNE OTHMAN
A show case of taarab music (traditional and modern) blended with swahili culture. Get the latest gossip and information on taarab bands, singers and coastal life in general.
TAM TAM ZA MWAMBAO ni kipindi kinachokuletea burudani nzima ya muziki wa Taarab wa zamani na wa kisasa pamoja na habari zote zinazihusu wanamuziki wa Taarab au bendi zao. Kipindi pia kinaangalizia baadhi ya tamaduni na maisha ya watu wa maeneo ya Pwani.
01:00 PM 04:00 PM
BABA T
LOVERS ROCK is a show dedicated to reggae lovers. Enjoy all types of Reggae here from local, regional to international as we play roots, ragga to sweet reggae and give you all the information on the music.
LOVERS ROCK ni kipindi kinachokuletea burudani ya muziki wa rege aina zote kutoka nyumbani, Tanzania, Afrika Mashariki na kimataifa. Pia tunakupa taarifa zote juu ya muziki na wanamuziki wa reggae duniani kote.
Email/Barua Pepe:
04:00 PM 06:00 PM
DJ 45
SUNDAY SOUL here the clock is turned back to an era when music was music. Its time to escape back to the 80s and 90s so put your dancing shoes on and lets boogie to the oldies, remembering the good old days.
SUNDAY SOUL ni kipindi kinachokurudisha nyuma na kukumbusha ngoma zote kali za zamani kuanzia miaka ya 80 mpaka 90 na mwanzoni mwa 2000.
06:00 PM 08:00 PM
King Smash
Interactive show in which listeners are given the freedom to control the playlist. Also we round up the biggest stories of the week. Tune in and be part of the family.
Kipindi pekee kinachokupa fursa ya kuomba wimbo wowote unaoupenda na kupata taarifa mbalimbali muhimu za wiki.
Email/Barua Pepe:
08:00 PM 10:00 PM
DJ MACKAY
AFRO SUNDAY is a show dedicated specifically to African music and all the information surrounding it. The show features interviews, gossip and reports on dance music, artists and bands.
AFRO SUNDAY ni kipindi kinachokuletea burudani kamili ya muziki wa Afrika na habari kuhusiana na muziki huo na wanamuziki wake. Kipindi pia kinakuletea mahojiano ya moja kwa moja na wanamuziki wa mziki huo pamioja na bendi zao.
10:00 PM 00:00AM
00:00 AM 05:00 AM